Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Majalis za Maombolezo na Kumbukumbu ya Shahada ya Ava Abdillah Al_Hussein (as), zinaendelea kila Siku katika Mwezi huu Mtukufu wa Muharram katika Madarasa ya Hazrat Zainab (sa) Kigamboni- Dar-es-salaam.

28 Juni 2025 - 21:29

Majlisi ya 2 Maombolezo ya Muharram | Katika Chuo cha Mabinti cha Hazrat Zainab (SA), Kigamboni - Dar-es-salaam+ Picha

Hakika huu ni Mwezi wa Huzuni kubwa kwa Umma wa Kiislamu kutokana na kuuliwa Kishahidi ndani yake, Imam Hussein (as), Mjukuu Kipenzi wa Mtume wetu Muhammad(saww).

Majlisi ya 2 Maombolezo ya Muharram | Katika Chuo cha Mabinti cha Hazrat Zainab (SA), Kigamboni - Dar-es-salaam+ Picha

Katika Picha ni Majlisi ya pili katika kuhuisha kumbukumbu ya Shahada hiyo ya Imam Hussein (as) na Mashahidi wote wa Karbala. Khatibu wa Majalis: Sheikh Ghawthi Salim Nyambwa.

Majlisi ya 2 Maombolezo ya Muharram | Katika Chuo cha Mabinti cha Hazrat Zainab (SA), Kigamboni - Dar-es-salaam+ Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha